sw_tn/act/05/33.md

16 lines
359 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Gamalieli anatoa maelezo mbele ya wajumbe wa baraza
# Gamalieli, mwalimu wa sheria, aliyeheshimiwa na watu wote
Luka anamwelezea Gamarieli juu ya historia yake.
# aliyeheshimiwa na watu wote
Alikuwa anaheshimiwa na watu wote
# alisimama na kuwaamuru mitume wachukuliwe nje
Gamalieli aliwaagiza walinzi wawatoe nje mitume kwa muda.