# Sentensi unganishi Gamalieli anatoa maelezo mbele ya wajumbe wa baraza # Gamalieli, mwalimu wa sheria, aliyeheshimiwa na watu wote Luka anamwelezea Gamarieli juu ya historia yake. # aliyeheshimiwa na watu wote Alikuwa anaheshimiwa na watu wote # alisimama na kuwaamuru mitume wachukuliwe nje Gamalieli aliwaagiza walinzi wawatoe nje mitume kwa muda.