sw_tn/act/04/29.md

24 lines
640 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo unganishi
Waumini wanakamilisha maombi yao waliyoyaanza
# yaangalie matisho yao,
Neno, "Yaangalie" Ni ombi kwa Mungu kuchukua hatua dhidi ya vitisho vya Wayahydi viongozi kwa vitisho vyao kwa waumini.
# kwamba unaponyosha mkono wako kuponya
Neno "Mkono" unaelezea nguvu za Mungu katika kuponya watu.
# kupitia jina la mtumishi wako mtakatifu Yesu
Neno "Jina" Linamaanisha nguvu na mamlaka ya Mtakatifu Yesu
# eneo ambalo walikusanyika kwa pamoja likatikiswa
Eneo walipokuwa wakifanyia maombi pakatikisika.
# na wote wakajazwa na Roho Mtakatifu
Roho Mtakatifu aliwajaza wote, na kuanz kulinena neno la Mungu kwa ujasiri