# Maelezo unganishi Waumini wanakamilisha maombi yao waliyoyaanza # yaangalie matisho yao, Neno, "Yaangalie" Ni ombi kwa Mungu kuchukua hatua dhidi ya vitisho vya Wayahydi viongozi kwa vitisho vyao kwa waumini. # kwamba unaponyosha mkono wako kuponya Neno "Mkono" unaelezea nguvu za Mungu katika kuponya watu. # kupitia jina la mtumishi wako mtakatifu Yesu Neno "Jina" Linamaanisha nguvu na mamlaka ya Mtakatifu Yesu # eneo ambalo walikusanyika kwa pamoja likatikiswa Eneo walipokuwa wakifanyia maombi pakatikisika. # na wote wakajazwa na Roho Mtakatifu Roho Mtakatifu aliwajaza wote, na kuanz kulinena neno la Mungu kwa ujasiri