sw_tn/act/03/24.md

36 lines
801 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Petro anahitimisha hotuba yake kwa Wayahudi aliyoianza
# Ndiyo, na manabii wote
"Ni dhahili manabii wote" Neno hapa "ndiyo" linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata.
# tokea Samweli na wale waliofuata baada yake
"wale manabii ambao walifuata baada ya uhai wa samweli"
# siku hizi
"siku hizi" au "mambo ambayo yanatokea sasa"
# Ninyi ni wana wa manabii na wa agano
"ninyi ni warithi wa manabii" na "ninyi ni warithi wa agano."
# katika mbegu yako
"kwasababu ya uzao wako"
# familia zote za dunia zitabarikiwa.'
Anamaanisha mataifa mbalimbali yatabarikiwa kwa ajili yake.
# Baada ya Mungu kumwinua mtumishi wake,
"Baada ya Mungu kumchagua mtumishi wake" au "Baada ya Mungu kutoa mamlaka kwa mtumishi wake"
# mtumishi wake
Hii inarejea kwa Masihi wa Mungu, Yesu.