# Sentensi unganishi Petro anahitimisha hotuba yake kwa Wayahudi aliyoianza # Ndiyo, na manabii wote "Ni dhahili manabii wote" Neno hapa "ndiyo" linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata. # tokea Samweli na wale waliofuata baada yake "wale manabii ambao walifuata baada ya uhai wa samweli" # siku hizi "siku hizi" au "mambo ambayo yanatokea sasa" # Ninyi ni wana wa manabii na wa agano "ninyi ni warithi wa manabii" na "ninyi ni warithi wa agano." # katika mbegu yako "kwasababu ya uzao wako" # familia zote za dunia zitabarikiwa.' Anamaanisha mataifa mbalimbali yatabarikiwa kwa ajili yake. # Baada ya Mungu kumwinua mtumishi wake, "Baada ya Mungu kumchagua mtumishi wake" au "Baada ya Mungu kutoa mamlaka kwa mtumishi wake" # mtumishi wake Hii inarejea kwa Masihi wa Mungu, Yesu.