sw_tn/act/02/25.md

24 lines
772 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Petro ananukuu kifungu ambacho Daudi alikiandika katika Zaburi kinachotaja kuteswa kwa Yesu na kufufuka kwake.
# Maelezo ya jumla
Tangu Petro ataje kwamba Daudi alitangulia kusema maneno kuhusu Yesu, maneno "Mimi na Yangu" yanamtambulisha Yesu. Na maneno Bwana na Yeye" yanamtambulisha Mungu.
# mbele ya uso wangu
Linamaanisha, "Mbele yangu au mbele ya uwepo wangu"
# pembeni mkono wangu wa kulia
Mkono wa kulia ulifikiriwa kuwa ni wa nguvu sana. Mtu aliye mkono wa kuume alikuwa ama mtumishi mwenye nguvu sana au msaidizi mwenye uwezo sana.
# moyo wangu ulikuwa na furaha na ulimi wangu ulishangilia.
NI: "Nilikwa na furaha na kushangilia"
# mwili wangu utaishi katika ujasiri
"Ingawa hata mimi ni wa kufa tu, nitakuwa na ujasiri kwa Mungu"