sw_tn/act/02/18.md

20 lines
403 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Petro anaendelea kumnukuu nabii Joeli.
# watumishi wangu na watumishi wangu wa kike
Wote waume kwa wake ni watumishi. Mungu atamwaga Roho wake kwa watumishi wake wote kwa wanaume na kwa wake.
# Nitammimina Roho wangu
Mungu anamtoa Roho wake kwa ukarimu kwa watu wote.
# toa unabii
Mungu anawatia msukumo kuizungumza kweli ya Mungu.
# mafusho ya moshi.
"umande" au "ukungu"