# Sentensi unganishi Petro anaendelea kumnukuu nabii Joeli. # watumishi wangu na watumishi wangu wa kike Wote waume kwa wake ni watumishi. Mungu atamwaga Roho wake kwa watumishi wake wote kwa wanaume na kwa wake. # Nitammimina Roho wangu Mungu anamtoa Roho wake kwa ukarimu kwa watu wote. # toa unabii Mungu anawatia msukumo kuizungumza kweli ya Mungu. # mafusho ya moshi. "umande" au "ukungu"