sw_tn/act/02/05.md

32 lines
880 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Mstari wa 5 unatoa taarifa ya nyuma kuhusu idadi kubwa ya wayahudi ambao walikuwa wanaishi Yerusalemu, wengi wao walikuwapo wakati wa tukio hili.
# Maelezo ya jumla
Hapa neno "wao" linajumuisha waumini na neno "yake" linataja kila mtu katika kundi.
# watu wa Mungu
watu waliotaka kuheshimu na au kumwabudu Mungu
# kila taifa chini ya mbingu
"kila taifa duniani" Watu kutoka mataifa mbalimbali walikuwa wamekuja Yerusalemu.
# Wakati sauti hii iliposikika
Hii inarejea sauti ambayo ilikuwa kama upepo wa nguvu kuwa: "Waliposikia sauti hii"
# Mkusanyiko
"kundi kubwa la watu"
# Walishangaa kwa mshangao mkuu
Maneno haya yana maana moha. Mshangao wao ulikuwa mkuu sana.
# Kweli, hawa wote wanaoongea siyo Wagalilaya?
Watu waliuliza swali wakionyesha mshangao wao kuwa hawa ni wa eneo moja na lugha yao ni moja iweje waongee na lugha za mataifa yetu?