sw_tn/act/01/20.md

24 lines
746 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Petro anaendeleza hotuba yake kwa waumini ambayo alikuwa ameianza.
# Maelezo ya Jumla:
Ujumbe wake unasimulia vile Yuda alivyotenda akiunganisha na unabii wa maandiko, Petro anarejea ujumbe katika kitabu cha Zaburi kwamba anaamini inahusiana na tukio hilo.
# Kwa sababu imeandikwa katika Kitabu cha Zaburi
Petro anathibitisha kuwa, "Daudi aliandika katika kitabu cha Zaburi".
# 'Ngoja eneo lake liwe hame na isiruhusiwe hata mmoja kuishi pale
Ni hali ya eneo kuachwa ukiwa kutokana na chanzo cha historia yake.
# na isiruhusiwe hata mtu mmoja kuishi pale
Kiwanja ni najisi (mwiko/haramu) au haifai kuishi juu yake.
# Ngoja mtu mwingine achukue nafasi yake ya uongozi
"Anaweza akarithiwa katika nafasi ya uongozi"