# Sentensi unganishi: Petro anaendeleza hotuba yake kwa waumini ambayo alikuwa ameianza. # Maelezo ya Jumla: Ujumbe wake unasimulia vile Yuda alivyotenda akiunganisha na unabii wa maandiko, Petro anarejea ujumbe katika kitabu cha Zaburi kwamba anaamini inahusiana na tukio hilo. # Kwa sababu imeandikwa katika Kitabu cha Zaburi Petro anathibitisha kuwa, "Daudi aliandika katika kitabu cha Zaburi". # 'Ngoja eneo lake liwe hame na isiruhusiwe hata mmoja kuishi pale Ni hali ya eneo kuachwa ukiwa kutokana na chanzo cha historia yake. # na isiruhusiwe hata mtu mmoja kuishi pale Kiwanja ni najisi (mwiko/haramu) au haifai kuishi juu yake. # Ngoja mtu mwingine achukue nafasi yake ya uongozi "Anaweza akarithiwa katika nafasi ya uongozi"