sw_tn/3jn/01/09.md

36 lines
890 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Neno "sisi" linamwelezea Yohana na wele waliokuwa pamoja naye bila kumjumuisha Gayo.
# kusanyiko
Hapa anamtaja Gayo na kundi la waumini wanaokutana pamoja kumwabudu Mungu.
# Diotrofe
Alikuwa hapo awali mmoja wa kundi la waumini waliokuwa wakikusanyika
# anayependa kuwa wa kwanza miongoni mwao
"Aliyependa kuonekana kuwa wa muhimu sana miongoni mwao" au "ambaye alipenda kujifanya kama vile ni kiongozi wao"
# jinsi anavyosema maneno mabaya dhidi yetu
"Jinsi anavyonena mambo mabaya kutuhusu sisi na hakika siyo ya kweli"
# yeye mwenyewe
Neno "yeye mwenyewe" linamwelezea Diotrofe aliyekuwa akifanya mambo hayo.
# hawapokei ndugu
hataki kuwapokea ndugu waumini"
# Hata huwakataza wengine ambao wanatamani kuwakaribisha hao
"Anawazuia wale wanaotaka kuwakaribisha waumini"
# na kuwafukuza watoke kwenye kusanyiko.
"Anawalazimisha kutoka kwenye kusanyiko"