sw_tn/2th/03/06.md

44 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Paulo anawapa waumini maelekezo ya mwisho kuhusu kufanya kazi na sio kukaa bila kufanya kazi.
# Sasa
Paulo anatumia neno hili kuonyesha kubadili mada.
# katika jina la Bwana Yesu Kristo
"kwa mamlaka ya Yesu"
# ndugu
hapa "ndugu" linamaanisha wakristo wenzetu, inajumuisha wote wanaume na wanawake. AT: "ndugu wa kiume na wakike"
# Bwana wetu
Neno "wetu" linamaanisha waumini wote.
# kuishi bila kufanya kazi
"ni mzembe na anazuia kufanya kazi"
# kutuiga sisi
" kufanya kama Paulona wenzake" au " kutenda kama Paulo na watenda kazi wenzake'
# Hatukuishi kati yenu kama wale wasio na nidhamu
Paulo anatumia maneno hasi ili kusisitiza maneno chanya. AT: "Tuiishi miongoni mwenu kama waliokuwa na nidhamu sana"
# tulifanya kazi usiku na mchana
"tulifanya kazi wakati wa usiku na wakati wa mchana" au "tulifanya kazi muda wote"
# katika kazi ngumu na shida
Paulo anasisitizajinsi hali yake ilivyokuwa ngumu. kazi ngumu inamaanisha kazi ambayo inahitaji juhudi kubwa. Ugumu inamaanisha walivumia maumivuna mateso.AT: "katika hali ngumu.
# Tulifanya hivi sio kwa sababu hatukuwa ma mamlaka
Paulo anatumia neno hasi kusisitiza upande chanya. Hii inaweza kusemwa kama chanya. AT: "pasina shaka tulikuwa na mamlaka."