sw_tn/2th/03/04.md

16 lines
531 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tunao ujasiri
' Tunayo imani" au "tunaamini"
# kuongoza mioyo yenu
Paulo anamwelezea Bwana kuwahamasishaWakristo wampende Mungu kana kwamba Bwana alikuwa akiwaongoza katika njia
# mioyo
Hii ni sitiari kwa ajili ya hisia au takwa, ambayo inaongoza upendo na uaminifu.
# kwa upendo wa Mungu na kwa uvumilivu wa Kristo
paulo anaongea upendo wa Mungu na uvumilivu wa Mungu na Kristo kana kwamba kulikuwa na mwisho katika njia. AT:Ni namna gani gani Mungu anawapenda na jinsi gani ambayo Kristo alivyovumilia kwa ajili yetu.