# Tunao ujasiri ' Tunayo imani" au "tunaamini" # kuongoza mioyo yenu Paulo anamwelezea Bwana kuwahamasishaWakristo wampende Mungu kana kwamba Bwana alikuwa akiwaongoza katika njia # mioyo Hii ni sitiari kwa ajili ya hisia au takwa, ambayo inaongoza upendo na uaminifu. # kwa upendo wa Mungu na kwa uvumilivu wa Kristo paulo anaongea upendo wa Mungu na uvumilivu wa Mungu na Kristo kana kwamba kulikuwa na mwisho katika njia. AT:Ni namna gani gani Mungu anawapenda na jinsi gani ambayo Kristo alivyovumilia kwa ajili yetu.