sw_tn/2th/01/09.md

16 lines
423 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# watateseka
Neno "wataseka" wanamaanishwa watu wasioitii injili.
# atakapokuja sike ile
Hapa "siku ile" ni siku Yesu atakaporudi duniani.
# ili atukuzwe na watakatifu wake
Hii inaweza kusemwa katika hali halisi. AT: "watu wake waliomwamini watamtukuza "
# watastaajabishwa na wale wote walioamini
Hii inaweza kuwa katika hali tendaji. "wale wote walioamini watashangaa" au "wale wote walioamini watamshangaa yeye"