# watateseka Neno "wataseka" wanamaanishwa watu wasioitii injili. # atakapokuja sike ile Hapa "siku ile" ni siku Yesu atakaporudi duniani. # ili atukuzwe na watakatifu wake Hii inaweza kusemwa katika hali halisi. AT: "watu wake waliomwamini watamtukuza " # watastaajabishwa na wale wote walioamini Hii inaweza kuwa katika hali tendaji. "wale wote walioamini watashangaa" au "wale wote walioamini watamshangaa yeye"