sw_tn/2jn/01/09.md

24 lines
678 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yeyote aendeleae mbele
Hii inaonyesha mtu anaye dai kufahamu zaidi juu ya Mungu na ukweli kuliko mtu yeyote "Yeyote anayesema kuwa anafahamu zaidi kuhusu Mungu." au " Yeyote anayeikana kweli"
# hana Mungu
" si mali ya Mungu"
# Yeye adumuye katika fundisho anaye Baba na Mwana
"Wale wanaofuata mafundish ya Kristo ni mali ya Baba na Mwana"
# Baba na Mwana
Hivi ni vyeo muhimu vinavyoelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu
# msimkaribishe katika nyumba zenu
Hapa ina maanisha kumkaribisha na kumtendea heshima ili kujenga uhusiano na naye.
# hushiriki katika matendo yake maovu
" Hushiriki naye katika matendo yake ya uovu" au" humsaidia katika matendo yake maovu."