sw_tn/2jn/01/04.md

24 lines
758 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ...wewe, mwanamke, nakuandikia
Ni maneno ambayo yametumiwa katika hali ya umoja.
# kama vile tu tulivyoipokea amri hii kutoka kwa Baba
"Kama vile Mungu Baba alivyo tuagiaza"
# siyo kwamba nakuandikia amri mpya
" siyo kwamba nakuagiza kufanya jambo jipya"
# bali ile tuliyokuwa nayo tokea mwanzo
Hapa neno "mwanzo" inamaanisha " tulipoamini kwa mara ya kwanza" kwa maneno mengine:- " lakini nawaandikia kama tulivyoagizwa na Kristo kufanya tulipoamini mara ya kwanza."
# tunapaswa kupendana sisi kwa sisi.
Hii inaweza kutafisiriwa kama sentensi mpya: "Na alitupa amri kwamba tunapaswa kupendana."
# Hii ndiyo ile amri, kama mlivyoisikia tokea mwanzo, kwamba mnapaswa kuenenda katika hiyo.
" Mungu amewaagiza tangu mwanzo mlipoamini mpendane"