sw_tn/2co/01/08.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# hatutaki mwe wajinga
Hii inaweza kuelezwa kwa msamiati chanya "tunataka mfahamu"
# Tuliteswa sana zaidi ya vile ambavyo tungeweza kuvumilia
Paulo na Timotheo wanaelezea hisia zao za kukata tamaa kama mzigo mzito waliopaswa kuubeba.
# Tulikuwa tumekatishwa tamaa kabisa
neno "katishwa tamaa" linaeleza hisia za kuvujwa moyo. Hii inaweza kuelezwa katika muundo wa utendaji. " taabu tulizozipitia zimetukatisha tamaa kabisa" au "Tulikuwa katika kukatishwa tamaa kabisa"
# Tulikuwa na hukumu ya kifo juu yetu
Paulo na Timotheo wanalinganisha hisia zao za kuvujwa moyo kama mtu ambaye ametiwa hatiani kufa." " Tulikuwa katika kukata tamaa kama mtu aliyehukumiwa kufa"
# lakini badala yake katika Mungu
Maneno "weka tumaini letu" yameachwa katika sentensi hii. "lakini badala yake, weka tumaini letu katika Mungu"
# anaye wafufua wafu
"anaye waleta wafu kurudi katika uhai tena"
# maafa ya mauti
Paulo na Timotheo wanafananisha hisia yao ya kukata tamaa na maafa ya mauti au hatari ya kutisha. (UDB) AT: "kukata tamaa."