# hatutaki mwe wajinga Hii inaweza kuelezwa kwa msamiati chanya "tunataka mfahamu" # Tuliteswa sana zaidi ya vile ambavyo tungeweza kuvumilia Paulo na Timotheo wanaelezea hisia zao za kukata tamaa kama mzigo mzito waliopaswa kuubeba. # Tulikuwa tumekatishwa tamaa kabisa neno "katishwa tamaa" linaeleza hisia za kuvujwa moyo. Hii inaweza kuelezwa katika muundo wa utendaji. " taabu tulizozipitia zimetukatisha tamaa kabisa" au "Tulikuwa katika kukatishwa tamaa kabisa" # Tulikuwa na hukumu ya kifo juu yetu Paulo na Timotheo wanalinganisha hisia zao za kuvujwa moyo kama mtu ambaye ametiwa hatiani kufa." " Tulikuwa katika kukata tamaa kama mtu aliyehukumiwa kufa" # lakini badala yake katika Mungu Maneno "weka tumaini letu" yameachwa katika sentensi hii. "lakini badala yake, weka tumaini letu katika Mungu" # anaye wafufua wafu "anaye waleta wafu kurudi katika uhai tena" # maafa ya mauti Paulo na Timotheo wanafananisha hisia yao ya kukata tamaa na maafa ya mauti au hatari ya kutisha. (UDB) AT: "kukata tamaa."