sw_tn/1th/02/14.md

24 lines
547 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ndugu
Hapa hii inamaanisha Wakristo wenzetu
# mlikuwa wafuasi wa makanisa
Wao wanauzoefu sawa wa uadui kutoka baadhi yaWathessalonike kama vile waamini wa kwanza wazoefu wa mateso kutoka kwa viongozi wa Wayahudi "Ikawa kama makanisa"
# kutoka kwa watu wa Taifa lenu wenyewe
"kutoka kwa Wathessalonike
# Nao walituzuia sisi tusiseme
"Wao walijaribu kutufanya kuacha kusema"
# daima walitimiza dhambi zao
"kuendelea kutenda dhambi"
# Ghadhabu imewawajia kwao
"Adhabu ya Mungu imewajia ndani yao" au"'hasira ya Mungu imewajia ndani yao'