# ndugu Hapa hii inamaanisha Wakristo wenzetu # mlikuwa wafuasi wa makanisa Wao wanauzoefu sawa wa uadui kutoka baadhi yaWathessalonike kama vile waamini wa kwanza wazoefu wa mateso kutoka kwa viongozi wa Wayahudi "Ikawa kama makanisa" # kutoka kwa watu wa Taifa lenu wenyewe "kutoka kwa Wathessalonike # Nao walituzuia sisi tusiseme "Wao walijaribu kutufanya kuacha kusema" # daima walitimiza dhambi zao "kuendelea kutenda dhambi" # Ghadhabu imewawajia kwao "Adhabu ya Mungu imewajia ndani yao" au"'hasira ya Mungu imewajia ndani yao'