sw_tn/1ki/07/15.md

20 lines
340 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Dhiraa kumi na nane
Dhiraa moja ni sentimita 46
# mzingo wa mita 5.5
"mzingo" ni kipimo cha urefu wa kitu cha duara.
# Akatengeneza taji mbili
Neno "taji" linamaanishapamba linalowekwa juu ya nguzo.
# shaba
Shaba iling'aishwa ili kuaksi mwanga wa jua
# Kulikuwa na nyavu za kuwa kama kaziy a kusuka
"Mikufu ya vyuma iliyosukwa"