# Dhiraa kumi na nane Dhiraa moja ni sentimita 46 # mzingo wa mita 5.5 "mzingo" ni kipimo cha urefu wa kitu cha duara. # Akatengeneza taji mbili Neno "taji" linamaanishapamba linalowekwa juu ya nguzo. # shaba Shaba iling'aishwa ili kuaksi mwanga wa jua # Kulikuwa na nyavu za kuwa kama kaziy a kusuka "Mikufu ya vyuma iliyosukwa"