sw_tn/1jn/05/13.md

32 lines
861 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maaelezo ya Jumla
Hii inaanzisha mwisho wa barua ya Yohana. Anawaambia wasomaji wakke kusudi lake la mwisho kwa barua yake na anawapa mafundisho kadha ya mwaisho.
# mambo haya
"barua hii"
# ninyi mnaoamini katika jina la Mwana wa Mungu
Hapa "jina" ni Taashira au Ishara inayomwakilisha Mwana wa Mungu. : "Ninyi mnaotumaini katika Mwana wa Mungu"
# Mwana wa Mungu
Hiki nicheo muhimi sana kwa Ysu ambacho uelezea uhusiano wake kwa Mungu.
# uzima
Hapa "uzima" husimama badala ya haki ya kuishi milele kwa neema na upendo wa Mungu. Tazama 1:1
# Na huu ndio ujasiri tulionao mbele zake, kwamba
"tuna ujasiri mbele za Mungu kwa sababu tunajua, kwamba"
# kama tukiomba kitu chochote sawa sawa na mapenzi yake
"Kama tunaomba mambo ambayo Mungu hutamani"
# tunajua kwamba tunacho hicho tulichomwomba.
"tunajua kwamba tutapokea ambacho tumemwomba Mungu"