# Maaelezo ya Jumla Hii inaanzisha mwisho wa barua ya Yohana. Anawaambia wasomaji wakke kusudi lake la mwisho kwa barua yake na anawapa mafundisho kadha ya mwaisho. # mambo haya "barua hii" # ninyi mnaoamini katika jina la Mwana wa Mungu Hapa "jina" ni Taashira au Ishara inayomwakilisha Mwana wa Mungu. : "Ninyi mnaotumaini katika Mwana wa Mungu" # Mwana wa Mungu Hiki nicheo muhimi sana kwa Ysu ambacho uelezea uhusiano wake kwa Mungu. # uzima Hapa "uzima" husimama badala ya haki ya kuishi milele kwa neema na upendo wa Mungu. Tazama 1:1 # Na huu ndio ujasiri tulionao mbele zake, kwamba "tuna ujasiri mbele za Mungu kwa sababu tunajua, kwamba" # kama tukiomba kitu chochote sawa sawa na mapenzi yake "Kama tunaomba mambo ambayo Mungu hutamani" # tunajua kwamba tunacho hicho tulichomwomba. "tunajua kwamba tutapokea ambacho tumemwomba Mungu"