sw_tn/1jn/05/09.md

24 lines
757 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama tunaupokea ushuhuda wa wanadamu ushuhuda wa Mungu ni mkuu
"Kama tunaamini wasemayo watu, basi ni lazima tuamini asemacho Mungu kwa sababu Yeye daima huisema kweli"
# tunaupokea ushuhuda wa wanadamu
uhalisia kwamba watu huutoa ushahidi au kushuhudia juu ya mambo mbalimbalia limezungumziwa hapa kana kwamba ni kitu amabacho wengine hukipokea.
# ushuhuda wa Mungu ni mkuu
usuhuda wa Mungu ni mkuu na muhimu na wa kutegemewa zaidi
# amwaminiye Mwana wa Mungu ana ushuhuda ndani yake m
mtu yeyote anayemwamini Yesu hujua kuwa hakika Yesu ni Mwana wa Mungu"
# amemfanya yeye kuwa mwongo,
"anamwita Mungu mwongo"
# kwa kuwa hakuuamini ushuhuda ambao Mungu ameuleta kuhusu Mwanawe.
"kwa sababu haamini kwamba Mungu aliseama kweli kuhusu Mwanawe"