# Kama tunaupokea ushuhuda wa wanadamu ushuhuda wa Mungu ni mkuu "Kama tunaamini wasemayo watu, basi ni lazima tuamini asemacho Mungu kwa sababu Yeye daima huisema kweli" # tunaupokea ushuhuda wa wanadamu uhalisia kwamba watu huutoa ushahidi au kushuhudia juu ya mambo mbalimbalia limezungumziwa hapa kana kwamba ni kitu amabacho wengine hukipokea. # ushuhuda wa Mungu ni mkuu usuhuda wa Mungu ni mkuu na muhimu na wa kutegemewa zaidi # amwaminiye Mwana wa Mungu ana ushuhuda ndani yake m mtu yeyote anayemwamini Yesu hujua kuwa hakika Yesu ni Mwana wa Mungu" # amemfanya yeye kuwa mwongo, "anamwita Mungu mwongo" # kwa kuwa hakuuamini ushuhuda ambao Mungu ameuleta kuhusu Mwanawe. "kwa sababu haamini kwamba Mungu aliseama kweli kuhusu Mwanawe"