sw_tn/1jn/03/11.md

16 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tuna pasa kupenda.
Hapa, neno "tuna" linalenga waumimini wote.
# Ndugu.
Katika tukio hili, neno ndugu linamaanisha mdogo wake na Kaini, Abeli.
# Na kwa nini alimuua?Kaw sababu
Yohana anatumia swali kuwafundisha wasikilizaji wake. Hii ingeweza kutafsiriwa kama usemi: "Alimuua kwa sababu."
# Kazi zake zilikuwa na uovu, na kazi za ndugu yake zilikuwa za haki.
"Kwa sababu daima alifanya mambo maovu na ndugu yake alikuwa akifanya mambo mazuri."