# Tuna pasa kupenda. Hapa, neno "tuna" linalenga waumimini wote. # Ndugu. Katika tukio hili, neno ndugu linamaanisha mdogo wake na Kaini, Abeli. # Na kwa nini alimuua?Kaw sababu Yohana anatumia swali kuwafundisha wasikilizaji wake. Hii ingeweza kutafsiriwa kama usemi: "Alimuua kwa sababu." # Kazi zake zilikuwa na uovu, na kazi za ndugu yake zilikuwa za haki. "Kwa sababu daima alifanya mambo maovu na ndugu yake alikuwa akifanya mambo mazuri."