sw_tn/1jn/02/24.md

40 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Yohana anawakumbusha waamini kuendelea katika lile walilokisikia hapo kwanza
# Maelezo ya Jumla
Hapa neno "ninyi" ni katika wingi nna humaanisha watu ambao Yohana anawaandikia pia na waamin wote.
# kile mlilosikia toka mwanzo acha liendelee kuwa ndani yenu.
"Kumbukeni na kuamini lile mlilolisikia tangu mwanzo>" Walilisikiaje, walilolisikia, na mwamwazo humaanisha nini, linaweza kuwekwa wazi. "endeleeni kutumaini tulilowafundisha kuhusu Yesu kama tu vile ambavyo mmetumaini tangu mwe waamini.
# Lile mlilolisikia tangu mwanzo
"tulilowafundisha kuhusu Yesu mlipoanza kuwa kuwa waamini"
# ikiwa mlilolisikia hukaa ndani yenu
Neno "hukaa" linazungumzia kuhusu uhusiano, siyo wakovu. "ikiwa mtaendelea kutumaini tullowafundisha hapo kwanza"
# pia mtakaa ndani ya Mwana na Baba
"pia mwe na uhusiano pamoja na Mwana pamoja na Baba." Tazama maelezo katika 2:4 Uone lilivyofafanuliwa
# Na hii ni ahadi aliyotupatia sisi: uzima wa milele.
"na hivi ndivyo alivyotuahidi sisi kutupa - uzima wa milele" au " Na ametusababisha kuishi milele.
# uzima
Neno "uzima" katika barua nzima humaanisha zaidi ya uzima wa kimwili. Tazama maelezo katika 1:1 uone lilivyofafanuliwa
# wangeliwakosesha
"wanaotaka kuwaondoa njiani." Kuna wale ambao wangejaribu kuwaondoeni kwa Mungu na kweli Yake" "wangewasababisha kuamini uongo"
# kosesha
Shawishi mtu kutomtii Mungu limezugumziwa kana kwamba linlikuwa likimtoa mtu kwanya njia sahihi ya kufuata