# Sentensi Unganishi Yohana anawakumbusha waamini kuendelea katika lile walilokisikia hapo kwanza # Maelezo ya Jumla Hapa neno "ninyi" ni katika wingi nna humaanisha watu ambao Yohana anawaandikia pia na waamin wote. # kile mlilosikia toka mwanzo acha liendelee kuwa ndani yenu. "Kumbukeni na kuamini lile mlilolisikia tangu mwanzo>" Walilisikiaje, walilolisikia, na mwamwazo humaanisha nini, linaweza kuwekwa wazi. "endeleeni kutumaini tulilowafundisha kuhusu Yesu kama tu vile ambavyo mmetumaini tangu mwe waamini. # Lile mlilolisikia tangu mwanzo "tulilowafundisha kuhusu Yesu mlipoanza kuwa kuwa waamini" # ikiwa mlilolisikia hukaa ndani yenu Neno "hukaa" linazungumzia kuhusu uhusiano, siyo wakovu. "ikiwa mtaendelea kutumaini tullowafundisha hapo kwanza" # pia mtakaa ndani ya Mwana na Baba "pia mwe na uhusiano pamoja na Mwana pamoja na Baba." Tazama maelezo katika 2:4 Uone lilivyofafanuliwa # Na hii ni ahadi aliyotupatia sisi: uzima wa milele. "na hivi ndivyo alivyotuahidi sisi kutupa - uzima wa milele" au " Na ametusababisha kuishi milele. # uzima Neno "uzima" katika barua nzima humaanisha zaidi ya uzima wa kimwili. Tazama maelezo katika 1:1 uone lilivyofafanuliwa # wangeliwakosesha "wanaotaka kuwaondoa njiani." Kuna wale ambao wangejaribu kuwaondoeni kwa Mungu na kweli Yake" "wangewasababisha kuamini uongo" # kosesha Shawishi mtu kutomtii Mungu limezugumziwa kana kwamba linlikuwa likimtoa mtu kwanya njia sahihi ya kufuata