sw_tn/1jn/02/09.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Hapa, neno "ndugu" humaanisaha Mkristo mwenza
# Yeye asemeye
"Yeyote asemaye" au "Wale wanaodai." Hiaimanishi mtu yeyote.
# yuko kwenye nuru
Hii ni picha ya kuishi kwa haki. Watu wanapofanya lililo haki, wanaweza kulifanya nuruni siyo kwa kificho gizani.: "hufanya lililo sahihi"
# yuko katika giza hata sasa
Hii ni picha ya kuishi maisha ya dhambi. Watu wanapofanya yaliyo maovu, hupenda kujificha gizani. : "yuko gizani, akitenda lililo ovu"
# hakuna jambo lolote liwezalo kumkwaza.
hakuna litakalomsababisha kujikwaa." Neno "kujikwaa" ni fumbo linalomaanisha kuanguka kiroho au kimaadili. : " hakuna litakalomsababisha kutenda dhambi" au "hatashindwa lipendezalo kwa Mungu"
# yuko gizani na anatembea gizani
wazo hili linalofanana limesemwa mara mbiili kusisitiza kulivyo uovu kumchukia mwamini mwenzako. "anaishi gizani au anaishi katika giza la dhamb
# hajui wapi aendako
Hii ni picha ya Mwamini anayeishi isivyompasa Mkristo kuishi. : "hata hajui kwamba analofanya ni ovu"
# giza limeyapofusha macho yake
"giza limemfanya asiweze kuonona." giza ni fumbo au mfano kwa ajili ya dhambi au uovu. : "dhambi imefanya isiwezekane kwake kuielewa kweli"