# Maelezo ya Jumla Hapa, neno "ndugu" humaanisaha Mkristo mwenza # Yeye asemeye "Yeyote asemaye" au "Wale wanaodai." Hiaimanishi mtu yeyote. # yuko kwenye nuru Hii ni picha ya kuishi kwa haki. Watu wanapofanya lililo haki, wanaweza kulifanya nuruni siyo kwa kificho gizani.: "hufanya lililo sahihi" # yuko katika giza hata sasa Hii ni picha ya kuishi maisha ya dhambi. Watu wanapofanya yaliyo maovu, hupenda kujificha gizani. : "yuko gizani, akitenda lililo ovu" # hakuna jambo lolote liwezalo kumkwaza. hakuna litakalomsababisha kujikwaa." Neno "kujikwaa" ni fumbo linalomaanisha kuanguka kiroho au kimaadili. : " hakuna litakalomsababisha kutenda dhambi" au "hatashindwa lipendezalo kwa Mungu" # yuko gizani na anatembea gizani wazo hili linalofanana limesemwa mara mbiili kusisitiza kulivyo uovu kumchukia mwamini mwenzako. "anaishi gizani au anaishi katika giza la dhamb # hajui wapi aendako Hii ni picha ya Mwamini anayeishi isivyompasa Mkristo kuishi. : "hata hajui kwamba analofanya ni ovu" # giza limeyapofusha macho yake "giza limemfanya asiweze kuonona." giza ni fumbo au mfano kwa ajili ya dhambi au uovu. : "dhambi imefanya isiwezekane kwake kuielewa kweli"