sw_tn/1co/15/54.md

8 lines
375 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# huu mwili wa kuhalibika...na usioharibika
"mwili huu unaweza kuoza... usioweza kuoza" angalia tafasiri inayofanana na hii katika 15:42
# Kifo, ushindi wako uko wapi? Kifo, uko wapi uchungu wako?"
Paulo anasema haya kufanya dhihaka dhidi ya nguvu ya kifo ambayo tayari Kristo amekwisha kuishinda. kwa maneno mengine ni kwamba: " Kifo hakina ushindi. Kifo hakina makali."