# huu mwili wa kuhalibika...na usioharibika "mwili huu unaweza kuoza... usioweza kuoza" angalia tafasiri inayofanana na hii katika 15:42 # Kifo, ushindi wako uko wapi? Kifo, uko wapi uchungu wako?" Paulo anasema haya kufanya dhihaka dhidi ya nguvu ya kifo ambayo tayari Kristo amekwisha kuishinda. kwa maneno mengine ni kwamba: " Kifo hakina ushindi. Kifo hakina makali."