sw_tn/1co/14/26.md

12 lines
357 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nini kifuatacho basi,
"kwa sababu kila kitu nilichowaambia ni cha kweli, na hicho ndicho mnapaswa kukifanya"
# atafasiri kilichosemwa
katika muundo tendaji ni kusema "tafasirini walichokisema"
# kutafasiri...tafasiri
Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. Anagalia 2:12 kwa maelezo zaidi kuhusu "tafasiri"