# Nini kifuatacho basi, "kwa sababu kila kitu nilichowaambia ni cha kweli, na hicho ndicho mnapaswa kukifanya" # atafasiri kilichosemwa katika muundo tendaji ni kusema "tafasirini walichokisema" # kutafasiri...tafasiri Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. Anagalia 2:12 kwa maelezo zaidi kuhusu "tafasiri"