sw_tn/1co/14/12.md

16 lines
510 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# uthihirisho wa Roho
" muweze kufanya matendo yanadhihilisha kuwa Roho anawaongoza na kuwatawala"
# takeni kwamba mzidi sana kulijenga kanisa
" muwe na mafanikio makubwa katika kuwawezesha watu wa Mungu kumtumikia Yeye zaidi"
# kutafasiri
Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. au kueleza maana za maneno kutoka lugha moja mpaka lugha nyingine. Anagalia 2:12 kwa maelezo zaidi kuhusu "tafasiri"
# akili zangu hazina matunda
"Siyafamu maneno ninayoyasema"