# uthihirisho wa Roho " muweze kufanya matendo yanadhihilisha kuwa Roho anawaongoza na kuwatawala" # takeni kwamba mzidi sana kulijenga kanisa " muwe na mafanikio makubwa katika kuwawezesha watu wa Mungu kumtumikia Yeye zaidi" # kutafasiri Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. au kueleza maana za maneno kutoka lugha moja mpaka lugha nyingine. Anagalia 2:12 kwa maelezo zaidi kuhusu "tafasiri" # akili zangu hazina matunda "Siyafamu maneno ninayoyasema"