sw_tn/1co/12/09.md

24 lines
563 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# humpa
Hii inaweza kuelezewa katika muundo tendaji " Mungu hutoa"
# kwa Roho mmoja
Mungu hutoa karama kupitia kazi ya Roho Mtakati pekee.
# aina mbalimbali za lugha
"uwezo wa kuongea lugha mbalimbali"
# tafsiri za lugha
uwezo wa kutoa mafafanuzi ya lugha nyingine inayozungumzwa ambayo si lugha yako.
# kufasiri
Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. au kueleza maana za maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine
# Roho ni yule
Paulo anawakumbusha wasomaji wake kuwa " Roho ni yule yule... Roho moja"