# humpa Hii inaweza kuelezewa katika muundo tendaji " Mungu hutoa" # kwa Roho mmoja Mungu hutoa karama kupitia kazi ya Roho Mtakati pekee. # aina mbalimbali za lugha "uwezo wa kuongea lugha mbalimbali" # tafsiri za lugha uwezo wa kutoa mafafanuzi ya lugha nyingine inayozungumzwa ambayo si lugha yako. # kufasiri Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. au kueleza maana za maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine # Roho ni yule Paulo anawakumbusha wasomaji wake kuwa " Roho ni yule yule... Roho moja"