sw_tn/1co/05/09.md

20 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wazinzi
Hii inahusu watu wanaokiri kuamini katika Kristo lakini wana tabia mbaya.
# Wazinzi wa dunia hii
Watu waliochagua kuishi katika maisha uzinzi,ambao si waumini
# wenye tamaa
"Wale walio na tamaa" au "Wale waliotayari kupoteza heshima ili kupata kitu wanchotamani"
# Wanyang'anyi
Hii ina maana watu ambao"wanadanganya au tapeli mali za watu wengine"
# basi ingewapasa mtoke duniani.
" ingeliwabidi kukaa mbali na watu wote"