# wazinzi Hii inahusu watu wanaokiri kuamini katika Kristo lakini wana tabia mbaya. # Wazinzi wa dunia hii Watu waliochagua kuishi katika maisha uzinzi,ambao si waumini # wenye tamaa "Wale walio na tamaa" au "Wale waliotayari kupoteza heshima ili kupata kitu wanchotamani" # Wanyang'anyi Hii ina maana watu ambao"wanadanganya au tapeli mali za watu wengine" # basi ingewapasa mtoke duniani. " ingeliwabidi kukaa mbali na watu wote"