sw_tn/1co/01/12.md

16 lines
622 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kila mmoja wenu husema
Paulo anaelezea kwa ujumla tabia ya mgawanyiko
# Je! Kristo amegawanyika?
Paulo ataka kuweka makazo kuhusu ukweli kwamba Kristo hajagawanyika lakini ni mmoja. "Haiwezekani kumgawanya Kristo katika namna mnayofanya."
# Je! Paulo alisulubiwa kwa ajili yenu?
Paulo anapenda kuweka mkazo kwamba alikuwa Kristo aliyesulubiwa wala si Paulo au Apolo. " ni ni ukweli uliowazi kuwa hawakumuua Paulo pale msalabani kwa ajili ya wokovu wenu."
# Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Paulo anaweka mkazo kwamba wote tunabatizwa katika jina la Kristo. " Na Watu hawakuwabatiza ninyi katika jina la Paulo."