# Kila mmoja wenu husema Paulo anaelezea kwa ujumla tabia ya mgawanyiko # Je! Kristo amegawanyika? Paulo ataka kuweka makazo kuhusu ukweli kwamba Kristo hajagawanyika lakini ni mmoja. "Haiwezekani kumgawanya Kristo katika namna mnayofanya." # Je! Paulo alisulubiwa kwa ajili yenu? Paulo anapenda kuweka mkazo kwamba alikuwa Kristo aliyesulubiwa wala si Paulo au Apolo. " ni ni ukweli uliowazi kuwa hawakumuua Paulo pale msalabani kwa ajili ya wokovu wenu." # Mlibatizwa kwa jina la Paulo? Paulo anaweka mkazo kwamba wote tunabatizwa katika jina la Kristo. " Na Watu hawakuwabatiza ninyi katika jina la Paulo."