sw_tn/1co/01/07.md

24 lines
473 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa hiyo
"Kama matokeo"
# hampungukiwi karama za kiroho
"kuwa na kila uwezo wa rohoni"
# Ufunuo wa Bwana wetu Yesu Kristo
Yawezekana maana ni 1)Wakati Mungu atakapo mfunua Bwana Yesu Kristo" au 2)"Wakati Bwana wetu Yesu Kristo atakapojidhihirisha yeye mwenyewe."
# msilaumiwe
Kusiwepo sababu yoyote ya kulaumiwa na Mungu
# Mungu ni mwaminifu
Mungu atatimiza jambo lolote ambalo ameahidi kufanya.
# mwana wake
Ni cheo cha Yesu Kristo, yaani "Mwana wa Mungu"