# Kwa hiyo "Kama matokeo" # hampungukiwi karama za kiroho "kuwa na kila uwezo wa rohoni" # Ufunuo wa Bwana wetu Yesu Kristo Yawezekana maana ni 1)Wakati Mungu atakapo mfunua Bwana Yesu Kristo" au 2)"Wakati Bwana wetu Yesu Kristo atakapojidhihirisha yeye mwenyewe." # msilaumiwe Kusiwepo sababu yoyote ya kulaumiwa na Mungu # Mungu ni mwaminifu Mungu atatimiza jambo lolote ambalo ameahidi kufanya. # mwana wake Ni cheo cha Yesu Kristo, yaani "Mwana wa Mungu"